Mambo aliyozungumzia katika ujio huo,
Usipoteze nafasi yako kwa mambo ya kitambo:-
Wana-TUCASA katika chuo cha Ufundi Arusha wakiwa pamoja na viongozi mbali mbali kutoka katika Conference ya NETCO na UNION Wakiwa pamoja katika ibada ya jioni ndani ya Chuo cha ufundi Arusha.
Uongozi mpya wa TUCASA wakipata uzoefu kutoka kwa viongozi wao, Pr. Elias Kasika, Pr. Jocob Ngusa pamoja na viongozi kutoka kanisa la waadventista wasabato Sakina
Wana-TUCASA Chuo cha Ufundi Arusha wakiwa pamoja na Wana-TUCASA kutoka katika vyuo tofauti wakiwa katika ibada ya pamoja iliyofanyika katika chuo cha Uhasibu cha Arusha (IAA) Mtaa wa Njiro
Technical Brothers Voices(TBVs), Baadhi ya ijana kutoka Chuo cha Ufundi Arusha wakiwa katika huduma kwa njia ya uimbaji katika kanisa la waadventista Wasabato Sakina .
Technical Brothers Voices(TBVs), Baadhi ya ijana kutoka Chuo cha Ufundi Arusha wakiwa katika huduma kwa njia ya uimbaji katika kanisa la waadventista Wasabato Sakina.