TUCASA ATC inawaalika wote katika PCM weekend itakayofanyika kuanzia Ijumaa ya tarehe 20/10/2017 hadi tarehe 22/10/2017 katika maeneo ya Chuo cha Ufundi Arusha(Arusha Tech.), watu wa madhehebu yote mnakaribishwa sanaaaaa.
Ratiba itakuwa kama ifuatavyo:-
- Siku ya Ijumaa itakuwa maalumu kwa ajili ya Campus, hivyo wanachama wote watahusika katika ufanyaji wa usafi katika Maeneo yote ya chuo cha Ufundi Arusha.
- Siku ya Sabato Jumamos vijana hawa watakuwa katika kanisa la Waadeventista Wasabato Sakina kwa huduma kuanzia Ahsubui hadi Jioni.
- Siku ya Jumapili Vijana watakuwa Mondule kwa ajili ya Matendo ya huruma,
Hivyo nyote mnakribishwa sana kujumuika pamoja na vijana hawa katika kutimiza Agizo la Mungu katika kuifikia Jamii, ndani ya vyuo vyao na nje pia lakini ndani ya kanisa na nje pia.
No comments:
Post a Comment