Naamini wewe pia unabarikiwa sana na huduma ya waimbaji hawa, Mungu ameendelea kuwatumia kwa namna ya ajabu sana na hata hivi punde tunapokea taarifa zao wakiifanya kazi ya Mungu kwa njia na uimbaji katika maeneo tofauti tofauti katika bara la ulaya, ikiwa ni pamoja na nchi ya texas
No comments:
Post a Comment